TASWIRA ZA PICHA TOKA ZANZIBAR LEO..
5/27/2012 04:55:00 AM
Mmoja wa waandamanaji wa kundi la uamsho na mihadara ya
kiislam (JIMIKI)kisiwani unguja,Zanzibar akionyesha kitambaa kilicho na damu
mapema leo asubuhi,ikiwa imesababisha vurugu kubwa kisiwani humo,iliyopelekea
kuchoma moto moja ya makanisa pamoja na magari,vurugu hizo ni baada ya kiongozi
mmoja wa jumuiya hiyyo kukamatwa.
Askari wa jeshi la kikosi cha kuzuia Ghasia wakifanya doria
katika mitaa mbalimbali ya Zanzibar mpaka leo asubuhi.
Waandishi wa jumuia ya uamsho na mihadhara ya kiislam (jumiki)wakiendelea
na maandamano yao leo asubuhi.
Hii ndio nembo ya jumuiya, hiyo picha kwa hisani mdau Zanzibar
picha kwa hisani na ISSAMICHUZI BLOG.








